Profile Photo

Society

  • Public Group
  • 18 hours, 24 minutes ago
  • 159

    Posts

  • 1

    Members

Makampuni ya India imesajiliwa kupitia Kituo

1 voice
1 reply
  • Author
    Posts
  • #94
    AvatarTanzania
    Administrator

      WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha 2021/2022 miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 3.68 inayotekelezwa na makampuni ya India imesajiliwa kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

      Makampuni ya India

      Makampuni ya India

      Makampuni ya India

       

      https://tanzania.eu.com

      #99
      AvatarTanzania
      Administrator

        reli ya treni ya umeme (SGR) hii na faida zake

        Tutazidi kuwaambia wananchi wetu wajue thamani ya miundombinu ya reli ya treni ya umeme (SGR) hii na faida zake na kwamba hii ni mali yao na wao ndio wawe walinzi wa kwanza kuhakikisha kwamba miundombinu inakuwa ni ya faida na kutunzwa

        reli ya treni ya

        https://tanzania.eu.com

      Topic tags

      You must be logged in to reply to this topic.

      Spread the love

      TANZANIANS