Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa eneo la Kagongwa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wakati akiwa ziarani katika mkoa tarehe 18 Januari 2023.
Walimu wanawajibu wa kuhakikisha nidhamu, maadili, uzalendo na utanzania wa mtoto unafundishwa na kushawishi jamii jinsi gani mtoto awe,
hivyo ni vyema tukatoa motisha kwa walimu nchini ili kuongeza ari ya utunzaji na ufundishaji wa watoto wetu," amesema Dkt. Charles Msonde