Walimu wanawajibu wa kuhakikisha nidhamu, maadili, uzalendo na utanzania wa mtoto unafundishwa na kushawishi jamii jinsi gani mtoto awe,hivyo ni vyema tukatoa motisha kwa walimu nchini ili kuongeza ari ya utunzaji na ufundishaji wa watoto wetu," amesema Dkt. Charles Msonde